660k,Umewapa pesa nzr sana,kwa bei hii ungeweza kupata hata izo zenye majina makubwa, minishawahi kununua AILYONS 43 smart kwa 450k japo waliniambia nibei cjui ya ofa cjui yajumla lkn natumai ndo bei zake
Uwezo wa kuihudumia upo ndugu yangu ? Maana hizo inchi 55 kila mwisho wa mwezi lazima uongeze mafuta ya HD
Ambayo ni laki na hamsini kwa mkoani na Dar es salaam ni laki na ishirini ?
Jitafakari Kaka mkubwa
Nilikuwa natafuta hii comment. Naona watu wanasifia color za vioo halafu hamna alieitaja Sony.. hakuna TV yenye color nzuri kuliko Sony kisha ndo wanafata kina Samsung.