Wana Jf,natafuta watu,taasisi waliosomea ushauri nasaha na kunasihi,waliotayari kujitolea kutoa ushauri shuleni,ni Dar es salaam.naomba kama yupo/wapo wanijuze.
nipo hapa!! Mshahara shilingi ngapi? Au ndiyo unataka kutuma barua ya maombi ya kufadhiliwa na wazungu kupitia migongo ya watu? Hizi NGO za ki siku hizi zimefungua ukurasa mpya wa wizi wa kuaminiwa.
Karibu. Nitafute napatikana Kinondoni Primary School tuongee kwani ni kweli vijana wengi wahitaji counselling ya kutosha ili kuwaokoa wao na nchi yetu japo wanasihi hawathamiwi nchi hii.