Unaweza kufungua workshop ndogo ya kuchomea,vifaa grender,drill machine,welding machine,nk pia ukaweka compressor ya kuweka upepo kwenye magari na pikipik pia kuziba pancha .jitahidi kuchagua site nzuri Mimi nilianza hivyo tu nipo mbali Sana Nina hadi leath machines karibu