tunaita Paronchyia yaweza kuwa fungus au bacteria dalili zake kidole kuvimba na kuwa na usaha/mauvimu makali/kidole kuwa chekendu...tiba kubwa ni incision and drainage/kutumbua kama limeiva/dawa za maumivu/antibiotic/antifungal

Tafuta dawa za maumivu /pcm/diclopar/brufen kati ya izo,Anti Ampiclox na metronidazole/flaggly kwa siku 5 kenaweza kwsha chenyewe bila kutumbuliwa...poole sanaa