Wataalamu naombeni ushauri,naumwa sana na kiuno yapata wiki ya Tatu Sasa.Nilienda hospital nikaambiwa ni UTI nikapewa dawa Cipro,dozi kuisha tatizo likawa bado nikatumia Doxycycline na yenyewe ikaisha lakini tatizo bado Mara ya Mwisho nikaenda BOCHI hospital nikaambiwa UTI ipo kidogo nikapewa Amoxclave nimemaliza dozi juzi lakini bado nasikia Maumivu nikikaa au kulala wakati wa kuamka inakuwa ishu.Mwenye uzoefu naomba ushauri tafadhali
Sent using
Jamii Forums mobile app