Wanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltary, wao wakabana, Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa sku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.
kapige kazi mama usiangalie watakuchukuliaj au we mwenyew unajistukia tu ile kurud sehem ambayo ulishaa ach kazi, kapambaneWanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltary, wao wakabana, Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa sku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.
Huna ubaya nao, wasiwasi wa nini. He hujiamini na unafikiri watakushawishi urudi kwenye kampuni yao?Wanazengo kuna kitu nimewaza mpaka basi, nilikuwa nafanyakazi, kwa miaka mingi, nikaacha hiyo sehemu ilikuwa kwenye mashirika ya dini, walinipenda ila maboss wa huku wakinibania mkuu wa shirika alitaka niende kufanyia ltaly, wao wakabana.
Nilivyoacha hawakupenda, niache kazi kwao, walinifanyia sherehe wakanipa zawadi, sasa siku si nyingi walienda home kuwasalimia wazazi wangu, wakaomba namba kwakuwa nilibadilisha, hii mpya, wameniambia jmos niende shirikani kwao nikakubali, tatizo mimi nikiachaga kazi sipendi kurudi hiyo sehemu, naomba mnishauri kwa hili.
Nilikwenda kuwasabahi, wakanikaribisha mezani nikala nao, ila kunidodosa dodosa, hasa nilivyotoka kwao tofaut na sasa, wamenywea mpaka kuna tenda ya kubeba wanafunzi nikawaulizia, nimtume dereva , mabosi wengi wanapenda tufurie, wawe juu si wachovu.Huna ubaya nao, wasiwasi wa nini. He hujiamini na unafikiri watakushawishi urudi kwenye kampuni yao?