Ushauri Kwa Watafuta Ajira.

Word.
 
Ushauri mzuri pia nawaasa vijana kabla haujaingia kwenye interview soma techniques za appearance,body language and everything watu wanafeli sana hivi vitu vyote uki google unapata km ww ni mvivu wa kusoma vitabu.
Na pia usi offer interviewer mkono wa salamu hdi aanze yeye jamani yani dah utakuta mtu anazunguka meza nzima anaanza kutoa salamu kushika watu mikono do not do that unless they start doing that not you.

All the best interviewees!
 
Ni wapi hapo mkuu unishitue mimi nikave gepu lake huyo anaonekana hana shida ya kupata kazi. Nishtue mkuu ata pm
 
Ni wapi hapo mkuu unishitue mimi nikave gepu lake huyo anaonekana hana shida ya kupata kazi. Nishtue mkuu ata pm
Deadline imepita wiki ya keshokutwa tutawainterview.
Umesomea nini na level ipi?
Likitokea gape takushtua.
 
MKUU WADADA WANAVAA NGUO ZA KUBANA WAPATE KAZ KIRAHS KWA WASAILI WAKWARE. BIASHARA MATANGAZO.

KUHUSU NDEVU NADHANI NDEVU ZIWE SAFI NA LEVEL SAWA NA ZISIWE KUBWA KAMA OSAMA.

KUHUSU BARUA NA CV NI KWELI MKUU KUNA WATU WANA VITUKO KAMA SYO GRADUATES.

NB: YOTE HAYA YATALETA MAANA KWENYE USAILI AMBAO NI FAIR, VINGNEVYO NI KUSUMBUANA.
 
Mkuu nishtue kukiwa na gepu Nimesoma Mass Communication ...ngazi Degree
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…