ushauri kwa wana sanaa watalajiwa.

Rutorial k

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
1,069
Reaction score
1,062
kwanza hongereni kwa kuhitimu kidato cha sita na kufauru kwa waliofauru. karibuni sana ktk ulimwengu wa wasomi..kwa bahati ambayo sio nzuri mmehitimu ktk kipindi ambacho muda mlioutumia shuleni unaweza usithaminiwe kabisaa...mifano mingi kwa kaka zenu..msikate tamaa.

kama mtabahatika kupata mikopo basi hakikisheni mnachagua kozi amabazo kweli zilikuwa ndio ndoto zenu tangu utotoni...achaneni na maswala ya eti hii haina ajira.

pia hakikisheni huko chuoni mnasoma kwa bidii zote ili mpate matokeo mazuri yani piganieni first class au ukifeli basi upper second ili ujiweke ktk mazingira mazuri ya angalau kushindana ktk soko la ajira ikiwa nafasi itapatkana..msiende kula bata kama wasemavyo vijana..

usijaribu kwenda kusoma kozi za maigizo eti kuna watu wanacheza ngoma ..wanaigiza etc..noo achana na hayo mambo.kama ni kozi za usanii basi angalau film preparation, vidio shooting, vidio editing etc ...hizo zitakusaidia.sasa nenda ukate viuno uone kitakachokupata.

kwa wale mnapenda uwalimu basi hakikisha unasoma BED bachelor of education na sio BAED bechelor of arts with education..kozi hii ililenga kupunguza uhaba wa walimu kwakuwa BAED husoma masomo mawili lakin BED huwa wanasoma somo moja la kufundishia ila wanayo sifa ya kuwa wakufunzi wa vyuo vya diploma na certificate tofauti na mtu wa BAED. nawatakia kila raheri

Post sent using JamiiForums mobile app
 



Ujumbe mzuri hata hivyo
 
"Watalajiwa"
Ulitaka kufikisha ujumbe gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…