nikiwa mdau wa mpira wa miguu nawaombeni sana hasa uongozi wa juu kutowafuata hawa viongozi wa chini kwenye klabu nakumbuka rais aliwambia azam mnaweza ila msiegemee kwa simba na yanga mtashimdwa lakini viongozi wenu hawafanyi hivyo wanataka kusjindana na yanga au simba nyinyi shindaneni uwanjani tu.
hao viongozi pamoja wanasijida kwenye paji lauso ni wanafiki .tizameni mbeya city kwa sasa inapendwa nchi nzima tofauti na azam tatizo ni unafiki wa uongozi azam tunaipenda mbeya city tunaipenda kwa kuleta changamoto.