Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Nacte wasifanye udahili kabisaa maana tuliomba mwezi machi ambapo f6 hata mock hawajaanza lakini leo selection tayari zishatoka,but nacte hawaeleweki sijui shida inakuwa nini? Sijui uwezo mdogo?Yani wanavyofanya utadhani wao hawana watoto coz kunabaadhi ya vyuo hata supp bado na mtu anataka kuclear aendelee na chuo NACTE & TCU pamoja na profesa NDALICHAKO kuweni na subira na mioyo ya huruma
Kwa sheria ipi, kifungu namba gani, kinachosema hivyo, je kwa tz au Ulimwengu mzima, kwani lengo hasa la elimu ni nn, maswali mengi ila umenichanganyaDiploma sio kwa ajili ya kwenda kusoma degree sababu ya kuiweka ni kwaajili ya kazi vijana. Kwenda chuo mwaka huohuo uliomaliza ni msaada tu wa nacte kwa sabubu kazi zinakuwa shida kupatikana. Sasa mnavyofanya ni lazima utarudishwa ule mtindo wa zamani ukimaliza diploma uende kazini kwanza. Kwa hiyo hii mada haina mashiko hata.
Kwa sheria ipi, kifungu namba gani, kinachosema hivyo, je kwa tz au Ulimwengu mzima, kwani lengo hasa la elimu ni nn, maswali mengi ila umenichanganya
Sio sababu ya msingi,jitahidi kufikiri kijana.Diploma sio kwa ajili ya kwenda kusoma degree sababu ya kuiweka ni kwaajili ya kazi vijana. Kwenda chuo mwaka huohuo uliomaliza ni msaada tu wa nacte kwa sabubu kazi zinakuwa shida kupatikana. Sasa mnavyofanya ni lazima utarudishwa ule mtindo wa zamani ukimaliza diploma uende kazini kwanza. Kwa hiyo hii mada haina mashiko hata.
Acha upuu.. weweDiploma sio kwa ajili ya kwenda kusoma degree sababu ya kuiweka ni kwaajili ya kazi vijana. Kwenda chuo mwaka huohuo uliomaliza ni msaada tu wa nacte kwa sabubu kazi zinakuwa shida kupatikana. Sasa mnavyofanya ni lazima utarudishwa ule mtindo wa zamani ukimaliza diploma uende kazini kwanza. Kwa hiyo hii mada haina mashiko hata.
dogo acha kuongea upuuzi hayo ni matatizo ya chuo chenu na sio NACTE, NACTE ikisema application zianze mwezi wa nane inabidi chuo chenu kiwape mtihani na mpate matokeo kabla ya mwezi wa nane. we unasema mfanye application hadi mwezi october mwingine atakuja kuomba mfanye application hadi december wakati vyuo vimeshafunguliwa.Hata Nacte kuhusu application mfumo wao sio mzuri kabisa..wangeacha watu wakaomba mpaka mwezi october mwishoni atleast
We fala kweli....kwa hiyo upuuzi ni kusema mawazo yangu?!mbona unaact as a smart sana wakati huna kitu..umekariri kila anayezungumza ni dogo eenh!! Nani amesema Application zianze mwezi wa nane?!usinilishe maneno ambayo sijazungumza...Kima wewe!dogo acha kuongea upuuzi hayo ni matatizo ya chuo chenu na sio NACTE, NACTE ikisema application zianze mwezi wa nane inabidi chuo chenu kiwape mtihani na mpate matokeo kabla ya mwezi wa nane. we unasema mfanye application hadi mwezi october mwingine atakuja kuomba mfanye application hadi december wakati vyuo vimeshafunguliwa.
haiwezekani NACTE ifate matakwa ya kila chuo ila vyuo ndio inabidi vifate matakwa ya NACTE.
kama unatoa mawazo ya kipuuzi utaitwa tu mpuuzi mpuuzi we, hapo juu umeandika mwenyewe mpewe nafasi muombe vyuo hadi october mwishoni, we hujui kama october vyuo vinakua vimeshafunguliwa? upuuzi mtupu.We fala kweli....kwa hiyo upuuzi ni kusema mawazo yangu?!mbona unaact as a smart sana wakati huna kitu..umekariri kila anayezungumza ni dogo eenh!! Nani amesema Application zianze mwezi wa nane?!usinilishe maneno ambayo sijazungumza...Kima wewe!