Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Pole wewe usiekuwa na lugha mkuu,kabila lako mnaongea kwa hisia ama...maana hata kiswahili ni lugha.Mna bowa na lugha zenu
Mbona hawajakulazimisha usome mkuu!Mna bowa na lugha zenu
Onyo kwa Harmonize kutembea na Wolper,onyo ambalo limewasilishwa kwa lugha ya KIMAKONDE!Sasa ndo umeposti nini!!?