Nasoma sheria kwa makini saaana sasa, hivi karibuni nitakuwa Arusha kuwatetea CDM ninayoipenda. Nitajitolea, sitaki kulipwa hata senti. Hafungwi mtu. Duniani kote kama hamjui, uhuru wa pili (badala ya ule wa 1961) ndiyo mgumu kuliko wote kuupigania. Kesi za kutengeneza hazifungi mtu. Ni fabrications, hakuna kitu. Hata hivyo tuko tayari kwa lolote, ushauri wako ni mzuri ...............