USHAURI KWA CHADEMA/UKAWA

kimbokwa

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
25
Reaction score
2
NENDENI MAHAKAMANI MKADAI HAKI YENU YA KIKATIBA YA KUJENGA YAMA VYENU
 
ngoja kwanza Damu imwagike ushaidi uzidi kupatikana hata kama ikimwagika damu ya Mbowe, Lisu, Lowasa,waliobaki wataendela kudai kama ilivyofanyika Libya kwani hata ukikimbia kufa kwa kutetea haki utakufa tu,bora utangulie kwa kutetea haki kuliko kufa ukikandamiza haki
 
Ni kweli gogo la shamba, hivi ukiogopa kufa kwa kutetea ukweli na jina lako likabaki kwa heshima halafu ukaja kufa kwa kipindupindu na watu wakasema ulikula kinyesi si ni janga hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…