We unaambiwa hawa watu wakiona hata unakula kuku wanasema unakula Rushwa, hiyo Bilioni watapata wapi?
Sio Rahisi kufanya biashara na ku ji asscoiate na watu wa namna hii mzee ...
Watakuvuruga na simshauri mfanyabiashara yeyote ajiunge na michango kwa hawa watu.... Utapakwa matope mpaka uhame nchi...
Issue za michango ndio kitu wanaweza, .. waoombeee mpaka waelewe siasa ni pesa itakuwa baadae sana...
Hiyo groupe of jobless lawyers hapo ni suala la muda kila mmoja ataanza kutafuta maslah yake drama za ubunge 2025 zikishindikana.