alexis jr JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 391 Reaction score 343 Sep 26, 2018 #1 habarini wakuu, Nina mtoto wa binamu wangu amemaliza shule ya msingi. Amefanya interview Rosmini na AHMEs na kupata zote hebu nipeni ushauri ili nami nimshauri aende shule bora karibuni wakuu
habarini wakuu, Nina mtoto wa binamu wangu amemaliza shule ya msingi. Amefanya interview Rosmini na AHMEs na kupata zote hebu nipeni ushauri ili nami nimshauri aende shule bora karibuni wakuu