Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,403 Reaction score 4,361 Jun 25, 2024 #1 Nina kablog kangu nilitengeneza kwa blogger sasa nataka sasa nihamie wordpress ili kawe na muonekano mzuri Huko nasikia kuna mambo ya kununua server Sasa nilitaka kujua kuhusu ukubwa,aina na speed ya server nisije nikajichanganta
Nina kablog kangu nilitengeneza kwa blogger sasa nataka sasa nihamie wordpress ili kawe na muonekano mzuri Huko nasikia kuna mambo ya kununua server Sasa nilitaka kujua kuhusu ukubwa,aina na speed ya server nisije nikajichanganta
Sun Wukong JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,301 Jun 26, 2024 #2 Njoo nikufanyie kazi kiongozi, Utanunua host (package kutoka katika makampuni yanayomiliki servers shared kwako inafaa kabisa),domain na kunilipa mimi tu
Njoo nikufanyie kazi kiongozi, Utanunua host (package kutoka katika makampuni yanayomiliki servers shared kwako inafaa kabisa),domain na kunilipa mimi tu