Inalipa Sana hyo mambo mkuu
Anza na Qnet wazee wa good morning hata usku , na ni wadhamini wa Manchester city , soon wananyakua kikombe cha EPL.....usisikilize wabongo , sku zote kwenye mchongo wa hela lazima wakupinge ..... Usinisahau mkuu kwneye huo ubilionare ....