Ushauri kuhusu matokeo ya form 4

Vera ginger

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
1,463
Reaction score
1,917
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
 
English ipo mara mbili

Andika kama anayetaka ushauri
 
Pcm na F ya physics ulikia wapi? Huyo ampeleke certificate sababu hata credit tatu hana labda hyo kama ni literature in English.
 
Samahani kwako mleta Uzi

Nami naomba ushauri kwa wadau ana IV ya 26
Hist F
Kiswahili C
Eng C
Geog D
Phys F
Bios D
Chemistry C
Math F
Civics D

Vipi anaweza endelea advance!? Au afanye nini?
 
Hawezi, ana credit 3 lakini combination zimegoma
 
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
Mungu akupatii unachotaka bali unachostahili sasa anataka PCM wakati physics ana F does not make sense,, anyway another opt is....if yuko committed sana na kwnda adv kwa hyo comb arudi class tena aanze kidato cha pili na cyo kuliseat atapotea hko
 
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
Aende private akasome Pcm huku akisaka credit ya physics. Inawezekana.
 
Huyu aende advance akapige shule kwa hasira atoboe aende university
Samahani kwako mleta Uzi

Nami naomba ushauri kwa wadau ana IV ya 26
Hist F
Kiswahili C
Eng C
Geog D
Phys F
Bios D
Chemistry C
Math F
Civics D

Vipi anaweza endelea advance!? Au afanye nini?
 
Haka kajinga kamefanya maksud kana uwezo ila kameleta uzembe.[emoji82]

PCB uongo labda aseme aende CHUO Cha AFYA

#WalterSam
 
Akasome certificate ya account akasome certificate ya pharmacy

Ziko njia nyingi kufikia malengo tusikariri advance tuuuuu
 
Mzazi wake anaomba ushauri kuhusu kijana wake kapata 1v ya 26
Eng B
Phy F
Chem D
Kisw F
Engl B
Civ F
Agric F
Hist D
Bio C
Math D
Anaweza kuenda advance?au arepeat maana kijana anataka PCM
Chuo
 
Samahani kwako mleta Uzi

Nami naomba ushauri kwa wadau ana IV ya 26
Hist F
Kiswahili C
Eng C
Geog D
Phys F
Bios D
Chemistry C
Math F
Civics D

Vipi anaweza endelea advance!? Au afanye nini?
Bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…