Ushauri kuhusu Google Pixel 7 Pro na Pixel 7 (Plane)

Janvansina

Member
Joined
Nov 5, 2025
Posts
63
Reaction score
69
 
Umefanya udalali wa kuuza miwa na ukapata hela kidogo tu, unakuja kuringisha JF kuwa na wewe ni mtu wa kusafiri kwa ndege.

Usafiri wako ni Moro Best Kilosa-Dar
 
Kumbe ishu kubwa zaidi ni gharam. Lkn mbon zimetofautian kdg san
Hizo tofauti unazoziona ndogo ni za muhimu sana kama ni mtu wa kupenda high perfomance

Ila kama ni mtu wa kupiga simu, kupokea, kuperuzi insta basi 7plain ni option nzuri.

7pro ina 12GB ram wakati 7plain ina 8, kwangu mimi nikitumia factor hii tu ya Ram siwezi kuona kama gape la 4GB ni dogo hususani pale tunapoona kuna simu zipo mtaani zina operate kwa 4GB.

Tunapoelekea miaka ya mbele, 7pro inakupa nafasi kubwa ya kuendelea kutumia simu yako kulingana na mahitaji ya wakati huo kuliko 7 plain.

Sasa imagine 12GB unaipata kwenye flagship

Hapo sijataja mambo mengine kama battery 5000, refresh rate 120hz, telephoto zoom nk.
 
Shukrani sana mkuu kwa uchambuzi mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ