Wazo bovu kabisa. Yaani bendera ya taifa ni ya kuidhalilisha hivyo?

Muulize Mwigulu anaeiba wake za watu na bendera yaTaifa shingoni....!acha Chadema waonyeshe uzalendo wao kwa taifa. naunga mkono wazo.!Wazo bovu kabisa. Yaani bendera ya taifa ni ya kuidhalilisha hivyo?
Tatizo hizo bendera za Taifa tutazipata wapi kwa masaa machache haya yaliyobaki, istoshe serikali yetu haina utamaduni wa kuruhusu wananchi wake kuwa na bendera ya taifa labda iwe ktk ofisi au shule za serikali au gari la kiongozi wa serikali.
Ndio maana unaweza kukuta nyumbani kwa mtu kuna pazia ambalo ni bendera ya marekani au Uingereza na si bendera ya tanzania.
Tunaishi tukitukuza nchi za watu kuliko ya kwetu.