Habari wakuu,
Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.
Mkuu ziko nyingi sana lkn isidenti hizo ni nadra sana, ukiwa unafanya sevisi kila mara hilo tatizo sio tatizo tena.
Jamaa abebe tu nami nalikubali hilo
Habari wakuu,
Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.View attachment 804548
kama ni mtu wa SAFARI ndefu
kama ni mtu wa speed..
hiyo GARI ITAKUUA siku sio nyingi..
hizo gari zina KESI ya mfumo wake wa steering na mfumo mzima wa kushikilia TAIRI
[HASHTAG]#TAIRI[/HASHTAG] za mbele huchomoka upande mmoja..
[HASHTAG]#STEERING[/HASHTAG] kuvuta upande mmoja...
nimeona hayo matukio zaid ya mara TANO... juzi jamaa yangu kaingia katika SHAMBA la miwa.. bahat nzuri hakufa