Ushauri juu ya kuanza Kwa ujenzi

ATB stoic

Member
Joined
Nov 14, 2023
Posts
76
Reaction score
62
Habarini Wana Jf na wajenzi wa humu

Kama kichwa kinavyo sema nina eneo dogo tu ft 50*40 lenye ardhi ya mchanga mweupe kama ule wa kujengea .
Wazo langu ni kujenga vyumba vitatu ,sebure,jiko na vyoo vya public ramani hapo chini.

Naomba kupata mchanganuo juu ya gharama za boma kabla ya finishing.

Natanguliza shukurani

 
Kwanza tafuta mtu akuchoree ramani, hii sketch ina mapungufu mengi. Inakuaje milango ya vyoo inatazama dining na sebule?!!
 
Bora uchukue hii hiyo yako hapana aisee,,
 

Attachments

  • IMG_20220524_194250_657.jpg
    144.7 KB · Views: 45
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…