Ushauri juu ya hili.......MSAADA

Fetty jr

Member
Dec 17, 2018
21
1
Mimi. Niliharibikiwa na ujauzito nikaenda hospital wakanipa misoprostol nkatumia lakini nikaanza kubleed kwa siku 25 mfululizo nkabadilisha hospital wakanipga ultrasound wakanambia hakuna shida na hawawezi kunipa dawa kwasabu kizazi hakina tatizo wala maambukizi ikabid nirudi nmepumzka Siku tano tu nikaanza tena kublid nikarud hospital wakanpga ultrasound wakasema hawaoni tatizo labda in period ya kawaida ila this tym ilikua siku Tisa badae ikawa imeisha sasa nmeanza tena tena inatoka nyingi sana nkaambiwa nipime full blood picture, urinalysis na hcg qualitative n quantitative nmepima ndo nkaona io mild na dam imepungua sasa wakanipa misoprostol tena hapa sijazitumia nahofia kuumwa na Nina mitian juma tatu sijui nifanyaje?
 
Tumia tabs primolut 10mg start then 5mg tds 5/7 plus caps ferotone 200mg bid 14/7

Sent using Jamii Forums mobile app

And by the way sidhani kama ana haja ya kutumia hizi dawa kwanza hiyo primolut ni kutokana na mapungufu kwenye hormones na huyu inaonekana ni kutokana na hiyo mimba kutoka then hiyo ferotone ambayo ni kwa ajili ya upungufu wa damu unaosababishwa na ukosefu wa iron na huyu inaonekana ni kutokana na kupoteza damu nyingi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi. Niliharibikiwa na ujauzito nikaenda hospital wakanipa misoprostol nkatumia lakini nikaanza kubleed kwa siku 25 mfululizo nkabadilisha hospital wakanipga ultrasound wakanambia hakuna shida na hawawezi kunipa dawa kwasabu kizazi hakina tatizo wala maambukizi ikabid nirudi nmepumzka Siku tano tu nikaanza tena kublid nikarud hospital wakanpga ultrasound wakasema hawaoni tatizo labda in period ya kawaida ila this tym ilikua siku Tisa badae ikawa imeisha sasa nmeanza tena tena inatoka nyingi sana nkaambiwa nipime full blood picture, urinalysis na hcg qualitative n quantitative nmepima ndo nkaona io mild na dam imepungua sasa wakanipa misoprostol tena hapa sijazitumia nahofia kuumwa na Nina mitian juma tatu sijui nifanyaje?

Ni vema ungemueleza daktari wako hali halisi angeweza kukupatia dawa za kujishikiza mpaka umalize mitihani na ndipo uanze full dose
Na ukiwa na daktari kuwa huru kumuelezea unachojisikia kama unahisi dawa haiztakusaidia au chochote

Siwezi kusema chochote kuhusu mimba na nn kifanyike kwa sababu sijajua mimba imetoka ina umri gani na mazingira ya hiyo mimba kutoka ilikuaje..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi. Niliharibikiwa na ujauzito nikaenda hospital wakanipa misoprostol nkatumia lakini nikaanza kubleed kwa siku 25 mfululizo nkabadilisha hospital wakanipga ultrasound wakanambia hakuna shida na hawawezi kunipa dawa kwasabu kizazi hakina tatizo wala maambukizi ikabid nirudi nmepumzka Siku tano tu nikaanza tena kublid nikarud hospital wakanpga ultrasound wakasema hawaoni tatizo labda in period ya kawaida ila this tym ilikua siku Tisa badae ikawa imeisha sasa nmeanza tena tena inatoka nyingi sana nkaambiwa nipime full blood picture, urinalysis na hcg qualitative n quantitative nmepima ndo nkaona io mild na dam imepungua sasa wakanipa misoprostol tena hapa sijazitumia nahofia kuumwa na Nina mitian juma tatu sijui nifanyaje?
Sasa kama tatizo hakuna kyk kizazi hizo miso wanakupatia za nini
Usitumie hizo miso tena
Kama upo tayari nikuelekeze hospital nzuri yenye uhakika tatizo lako litaisha ba kipimo chao kipo vizuri

Sometime ultrasound nyingi zinadanganya majibu na hii ni kutokana na uelewa wa msomaji majibu au wewe mwenyewe unywaji wa maji kujaza kibofu kabla ya kupima hicho kipimo

Ukiwa hauna mkojo kipimo kinatoa majibu yasiyo sahihi

Kama haujapata muafaka niambie nikutajie wapi pa kwenda na ufanye nn tatizo litaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una mtihani jumatatu?Mimba ilitoka au aliitoa?samahani lakini!Pili nakuombea upate nafuu kwa tiba inayoendana na hali yako kutoka kwa wataalam!
 
Back
Top Bottom