apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
watu tunapiga mpaka lita tano kuanzia asubuhi mpaka muda wa kulala.Hongera, bora wewe, mie simalizi lita na nusu kwa siku
Hongera, bora wewe, mie simalizi lita na nusu kwa siku
Duh!!!watu tunapiga mpaka lita tano kuanzia asubuhi mpaka muda wa kulala.
Wengine asubuhi asubuhi maji, mi nkinywa asubuhi nahisi kichefuchefu cha hatari utadhani nitatapika utumbo
Mimi juice nitamaliza hadi deli la lita 5,maji nikinywa mengi sana ujue nimetembea juani hiyo siku.
Hayatoshi hayo dadaakeHongera, bora wewe, mie simalizi lita na nusu kwa siku
Ntajihidi kidogo kidogo, safari za toi kila dakika zinachosha lakiniHayatoshi hayo dadaake
Kadri unavyoenda toi ndo unasafisha kibofu, figo n.k....... so do itNtajihidi kidogo kidogo, safari za toi kila dakika zinachosha lakini
Haya ahsanteKadri unavyoenda toi ndo unasafisha kibofu, figo n.k....... so do it