Ushauri : Hivi malavidavi ndo yanakuwa hivi au mimi mshamba? Maana naelekea kutokwa na roho

Sabakheri wadau : Kiukweli mwenzenu nimechoka kukabwa shingo mpaka napata michubuko na ugumu wa kumeza chakula.

Yote haya anayafanya wife tukifika tu kwenye game pale inapoanza kukolea mara anaanza kunipiga makofi (sio ya mahaba) yale kama ya kuulia mbu mgongoni panapofuata sasa analeta mikono yake shingoni na kuanza kunikaba yaan kama shumileta au masumbwi.

Kiukweli naumia sana katika siku za mwanzo nilimvumilia kama mara 4 hivi!! Ya tano ikabidi niombe ushauri kwa uncle! Uikashauriwa nikae nae nimuulize na kumwambia ukweli kuwa naumia!! Niliporudi rudi home nikamueleza akanuna ila akaelewa!!! Kufika usiku mambo yaleyale yaan anakaba kama the rock.

Sasa naombeni ushauri nimfanyeje huyu mama kibakuli na ukimwambia kaa samaki pande mbili hataki anataka missionary ili awe anapiga chukua point nyingi maana yashakua masumbwi!! Mke kawa kama mayweather.
 
Bwana umeshindwa na kazi???? Ila nakuelewa mama kafaa atulie mwanaume aendeshe gari...sio vita bana mambo ya kukabana koo sio.....utafaa mwenzangu wakuchukue maiti uchi wa mnyama...utakua magazetini na ktk vyombo vya habari kama yule mtu aliyeaga katk mechi...hehe dhibiti mwendo before it too late
 
Simple kuna style ukitumia ni vigumu kupata hiyo adha mkuu...mfano: Chuma mboga/dog style; kuinua miguu yake na kuiweka mabegani mwako etc etc...
 
kula papuchi kwa style ya chuma mboga ubabe wake uishie kwenye mito
 
Back
Top Bottom