nina div 4 ya 18,bam f,gs f,geo e,hist s na economics f,naomba ushauri kama kwa matokeo haya naweza jiunga na diploma vyuo vya hapa bongo,na vp course zote related to tax?naweza pata kwa hayo matokeo au itanibid nianze cheti!
mkuu so far nataka ni apply ita,diploma ya customs and tax management,2 yrz!kwasababu malengo yangu ilikua ni kusoma hii course japo nilitarajia ningeanza bachelor but cjakata tamaa,swali ni kama na cc wa diploma tunaweza apply mkopo.
Mjinga ni wewe unayetaka mwanao afundishwe na mtu aliyefeli then uanze kuilalamikia serikali. Serikali inatakiwa ionyeshe umakini na kuanzia sasa ualimu isionekane ni kazi ya Watu waliofeli mitihani. Ili taaluma ya ualimu izidi kuheshimika inabidi tuanze kuikemea Tabia hii ya kuwapokea Watu waliofeli. Ushauri wangu ni kua maisha ya sasa ni magumu sana na hayahitaji sanaa rudi shule karudie mtihani Kama kweli upo serious na shule, ikishindikana basi nenda VETA ukajifunze ufundi stadi ili uweze kujitegemea kwa kujiajiri maana kazi ya ufundi stadi haihitaji sana intellectual pia unaweza kujiunga na jeshi la polisi huko nako hatuhitaji akili sana