Chukua Si ina engen kubwa ya cc1800 pia ni nyepesi mnoooo zinakuwa na engen ya 7a-fe,kwa engen ikiwa mpya inaenda km 16 highway kimjini km 10 hivi na teknolojia yake ni EFI yaani electronic fuel injection inatumia coil kwenye umeme hazina tofauti kubwa ktk matumizi ya mafuta na hizo Ti ambazo zinatumia engen ya 5a-fe cc1500 pia inatumia distributor yaani kianalog,Hapo kwenye 7a ndipo teknolojia ilipoishia kwa engen zenye serial A nadhani wakaamia vvti.