Sijajua Ila kwa sasa hivi yaani naamanisha kuwa hii route ya moshi , himo, mwika, mamsera Mkuu, mashati...to tarakea wameacha kusajili Noah. Hii no kuwepo kwa utitiri wa noha nyingi japo bado kuba solo. Ila kukataa kusajili route hizi so kwamba watu hawaingizi noha mpya kwenye route hii. Lakini nakuhakikishia ukipata inalipa sana, maana takriban zaidi ya 4 za week huwa kuna masoko, hivyo watu hujongea kutoka sehemu moja kwenda sokoni hivyo hii inakuhakikishia uwepo wa wateja.