Ushauri - Biashara Kadi za Mialiko, michango n.k

arnolds

Senior Member
Joined
Oct 10, 2009
Posts
105
Reaction score
57
Amani kwenu wadau, natumaini wote mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida.
wakuu naomba ushauri hapa, nafikiria kuanzisha biashara ya kutengeneza kadi mbalimbali kama za harusi, sendoff na nyinginezo. kwenye swala la design hamna tatizo coz naweza kudesign mwenyewe. nataka kufaham ni vifaa gani vingine nitakavyohitaji (zaidi ya computer ambayo naitumia ku-design)?..naomba kwa anayefaham anitajie pia na mahali ambapo vifaa hivi vinapatikana.

shukrani sana, na Mungu awabariki.
 
Huku Chitchat tayari watu wote wana ndoa hivyo biashara yako itadorora...
Omba mods wakupelekee bandiko lako jukwaa stahiki...
 
Huku Chitchat tayari watu wote wana ndoa hivyo biashara yako itadorora...
Omba mods wakupelekee bandiko lako jukwaa stahiki...

Dada yangu Madame B yeye huwa anaolewa kila siku, muache aendelee na biashara yake.
 
Last edited by a moderator:
Huku Chitchat tayari watu wote wana ndoa hivyo biashara yako itadorora...
Omba mods wakupelekee bandiko lako jukwaa stahiki...

ndo vizuri coz wakat wa ubarikio/komunio/kipaimara nk wa watoto wao wanaweza wakahitaji kadi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…