Bambalaga01
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 304
- 646
Bro pokea maua yako,!Aanze na udereva veta alafu akomae na mechanical engineering ya veta pia mtaani mtafutia garage apige kwa vitendo
Utakuja kunikumbuka
hii lazima awe na hobby ya haya mambo, vingenevyo huko nako atatoka na DIV IV ya 29Aanze na udereva veta alafu akomae na mechanical engineering ya veta pia mtaani mtafutia garage apige kwa vitendo
Utakuja kunikumbuka
Ni tofauti kuwa na 4 29 sio kwamba hakuwa na malengo makubwa kuna watu wana anza vizuri ila wanamaliza vibayahii lazima awe na hobby ya haya mambo, vingenevyo huko nako atatoka na DIV IV ya 29
Hiyo ni division one kule CCP, mtafutie huko.Wakuu habarini.
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29
Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate?
Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu wake
Ahsanteni
Nimesha updateWeka masomo na grade zake ili iwe rahisi kukushauri
Malengo yake ni kusoma mkuuMuulize yeye ana malengo gani acheni kufanya kitu kwa matakwa yenu mpeni muda muulizeni yeye malengo yake ni yapi?
Awe na connection na akiingia akasome vinginevyo kwapa zitamuuma sana kuongoza magari barabaraniHiyo ni division one kule CCP, mtafutie huko.
Ila Kama unaona ni mwelewa mpeleke veta akachague kozi yoyote, ufundi unalipa hahitaji kutembeza bahasha baada ya màfunzo.
Sawa anataka kusomea nini? Ulimuuliza?Malengo yake ni kusoma mkuu
Jinsia ni mwanamke mkuuAanze na udereva veta alafu akomae na mechanical engineering ya veta pia mtaani mtafutia garage apige kwa vitendo
Utakuja kunikumbuka
NimeonaNimesha update
Wengi tumekariri kwamba maisha ni kusoma tuu. Kama ameshaona masomo hayapandi, ni bora aangalie kitu kingine anachopenda afanye hicho.Malengo yake ni kusoma mkuu
Famasia wanachukua hadi four ya 29?Nimeona
Famasia__vigezo D nne ikiwemo ya chemia na biology Isipokuwa ya dini
Upo sahihi, ila malengo yake bado hajachoka anataka aendelee kusomaWengi tumekariri kwamba maisha ni kusoma tuu. Kama ameshaona masomo hayapandi, ni bora aangalie kitu kingine anachopenda afanye hicho.