mbona ana HKL yake safi tu hapo, History japo D ila ana C ya kiswahili na English, labda division ndio imuangushe ila kwa kombi kapata, aachane na hisabati itamzingua aachane na masayansi na geographyBaada ya matokeo ya kidato Cha nne kutoka kijana wangu ana alama hizi, Civ D Hist D Geog D kisw C Chemist D English C biology C Math F mimi mlezi sinaufahamu wowote kijana anataka kuendelea masomo je hizi zitamsaidia kuendelea ama ndiyo basi? Ushauri wako nimhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
3 ya point 25 mkuukwani ana division ngapi?,
huenda labda division ndio shida ila kupata kombi ya kusoma high school kapata, HKL.
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo la CBG anaenda kukutana na BAM, na hiyo F ya mathematics hapo dogo ataenda kupotezwa, mwacheni na HKL
sishauri chuo, maana mathematics inasaidia sana kusomea vitu vizuri na kuvifaulu huko chuo kwa levo ya certificate, mfano akitaka soma accounting, ambayo wengi wanaipenda, mathematics itamletea shida sana, ni bora aende form five asome kombi yenye kumuepusha na hayo mavizingiti ya sayansi na mathematics afike form six apate cheti, i promise you hatokosa kozi ya kusoma, watu wamesoma HKL wako mavyuo vikuu wana masters zao sa hizi.
Asante mkuu nitalifanyia kazisishauri chuo, maana mathematics inasaidia sana kusomea vitu vizuri na kuvifaulu huko chuo kwa levo ya certificate, mfano akitaka soma accounting, ambayo wengi wanaipenda, mathematics itamletea shida sana, ni bora aende form five asome kombi yenye kumuepusha na hayo mavizingiti ya sayansi na mathematics afike form six apate cheti, i promise you hatokosa kozi ya kusoma, watu wamesoma HKL wako mavyuo vikuu wana masters zao sa hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa Rohombaya nasubiri ushauri wako tafadhali tiririkaDah...amepataje C ya kiswahili? Ajabu kweli kweli...Ile methali ya mtoto wa nyoka ni .....sijui kama anaijua...[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
HKL imekaa vizuri zaidi.