mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Sasa kama iphone 4 inakufurahisha wakati sio mult task ukitumia kuanzia iphone 6 si ndiyo utasikia raha kabisaLaaaaa kwahiyooo natumia sm iliyo expiry uwiiiiiiii ilaaa IPHONE MACHINE JAMAN HATA KAMA na huo ndoo upekee wake LAZMA NTAFUTE INGNE stawaangushaa tim apple
itabakia kuwa simu tu sio smart tena.Nakwambia baada ya miezi kadhaa hata whatsapp itakapoanza dai update hutoweza kuiupdate na mwisho wa siku itaacha fanya kazi yani inshort itafika kipindi hakuna app utakayoweza download na zilizokwisha downloadiwa zitakuwa hazifanyi kazi