RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,430
- 7,030
Tumia iFunbox kuweka apps. Versio 7 iko mbali sana -apple wanasema ata version 8 haisapoti iphone 4 labda 4s hapo mkuu pambana na hali tu. Utumie older versions za appsNmeenda imeandka your fon is up to date ikionesha ipo latest version
Hiyo ndiyo version ya mwisho ya ios kwa iphone 4 wameshazipga chini hawazipi updates simu zenye 32 bits processors.Nmeenda imeandka your fon is up to date ikionesha ipo latest version
Hiyo ndiyo version ya mwisho ya ios kwa iphone 4 wameshazipga chini hawazipi updates simu zenye 32 processors.Nmeenda imeandka your fon is up to date ikionesha ipo latest version
Kwenye ios 7.1.2 ukitaka download app ikigoma inauliza je idownload previous version.Mtafuta maisha
Mbona sjawah kuona sehem ya kudownload previuos version via appstore
Nakwambia baada ya miezi kadhaa hata whatsapp itakapoanza dai update hutoweza kuiupdate na mwisho wa siku itaacha fanya kazi yani inshort itafika kipindi hakuna app utakayoweza download na zilizokwisha downloadiwa zitakuwa hazifanyi kazi*Ooooh ver sad ngoja ntafute mteja fasta ila wasap imoo wakuu ilikubali ku install*