Used Vitz old model for sale

Mkinyigwite

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
61
Reaction score
3
Used vitz old model for sale kwa shilingi million 5.6 haipungui kabisa CC 990 kwa maelezo zaid piga simu namba 0715607800 ......
 
Utauza gari bila picha mjomba??
 
weka picha unataka kuuza mbuzi kwenye gunia
 
K.n.y Mkinyigwite Used vitz old model for sale kwa shilingi million 5.6 haipungui kabisa CC 990 kwa maelezo zaid piga simu namba 0715607800 ......
Picha hizi hapa.
 

Attachments

  • 1428125254672.jpg
    68.2 KB · Views: 369
  • 1428125392033.jpg
    65.3 KB · Views: 328
  • 1428125679893.jpg
    55.4 KB · Views: 325
  • 1428125855031.jpg
    62.6 KB · Views: 324
  • 1428125964565.jpg
    57.6 KB · Views: 317
Last edited by a moderator:
Imepata ajali marangapi mkuu?
 
Hapana mkuu hiyo haishuki ndio bei ile ile gari ipo vzuriii na ime pimpiwa hv karibuni so kuhusu mziki n shidaaaaahh unapiga balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…