G Gatekalii JF-Expert Member Nov 5, 2016 286 412 Nov 28, 2017 #1 Nauza haka kakifaa kanako print, scan na kutoa kopy kwa tshs 90000 tu. Kana hali nzuri Nipo dsm. Anaehitaji aje pm
Nauza haka kakifaa kanako print, scan na kutoa kopy kwa tshs 90000 tu. Kana hali nzuri Nipo dsm. Anaehitaji aje pm
G Gatekalii JF-Expert Member Nov 5, 2016 286 412 Nov 28, 2017 Thread starter #4 Amrish Puri said: Tangazo halijakamilika mkuu Click to expand... Niambie mapungufu nirekebishe
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,470 Nov 28, 2017 #5 Kidude hicho ndio hadi ufuatwe PM kusema bei?
G Gatekalii JF-Expert Member Nov 5, 2016 286 412 Nov 28, 2017 Thread starter #6 Mwana Mtoka Pabaya said: Kidude hicho ndio hadi ufuatwe PM kusema bei? Click to expand... Utakuwa umekurupuka kuandika kitu usichokuwa na hakika nacho. 9
Mwana Mtoka Pabaya said: Kidude hicho ndio hadi ufuatwe PM kusema bei? Click to expand... Utakuwa umekurupuka kuandika kitu usichokuwa na hakika nacho. 9