usedphotocopytz
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 174
- 23
Canon photocopy machine yenye feeder shilingi ngapi? Ikiwezekana niwekee pia na idadi ya milango yake, na copy ilizotoa mpaka sasa.Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mashine na ufanyaji kazi wake halafu pia bei maelewano yapo. Bei zinaanzia 1.200.000 tshs mpaka 2.800.000 tshs inategemea na mashine.
Muhimu kama unataka tuambie unataka kwa matumizi yapi ili tukupe ushauri mashine inayokufaa.
Bei hatuwezi kuzipost hapa kwa maana zinabadilika kushuka na kupanda .
Tupo ilala AMANA Dsm.
Karibu.
Tiktok nimeweka Video nikizionesha namna zinavyofanya kazi jaribu kuingia huko ucheki ipi inakufaa kwa kazi zako.
Canon ir2270 inatoa kopy 22 kwa dakika.. inageuza ,inaprint,size zote mpaka A3,black only... bei maelewano yapo zinaanzia 2.200.000 tshs...copy zilizopiga nimeweka picha.. sema hapa kila nikiweka picha zingine hazionekani sijui why..maybe nielekezeni nakosea wap.Canon photocopy machine yenye feeder shilingi ngapi? Ikiwezekana niwekee pia na idadi ya milango yake, na copy ilizotoa mpaka sasa.
Tajeni bei ili kupunguza usumbufu wa kupigiwa pigiwa. Picha pia ni muhimu.