Ndugu yangu nikupe ushauri.. Unasema hujaona mtu anaezijuwa apple humu lakini nikeambie kitu siku akitokea huyo mtu anaejuwa apple na akakwambia anaenda kukupa kwa hip hela unayo taka wewe basi juwa fika atakuwa ni tapeli . Kwa mimi hio laki 9 napata iphone 6 iliyosimama tu