nyengo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 454 Reaction score 185 Apr 11, 2011 #1 hata wana ccm wenyewe hawawezi kuamini usanii uliofanyika dodoma wiki jana. Atamfukuzaje lowasa wakati wa kampeni alidai kuwa ni mtu safi na apewe ubunge? kama kikwete kamfukuza el sababu ya ufisadi, sasa kwa nini takukuru isimfikishe el mahakamani?
hata wana ccm wenyewe hawawezi kuamini usanii uliofanyika dodoma wiki jana. Atamfukuzaje lowasa wakati wa kampeni alidai kuwa ni mtu safi na apewe ubunge? kama kikwete kamfukuza el sababu ya ufisadi, sasa kwa nini takukuru isimfikishe el mahakamani?
Echolima JF-Expert Member Joined Oct 28, 2007 Posts 3,824 Reaction score 2,079 Apr 11, 2011 #2 Ni rafiki yake hawezi kumwitia kukuru-kakara bora amweke pembeni kwa muda. Hata RA naye ni wale wale tu
Ni rafiki yake hawezi kumwitia kukuru-kakara bora amweke pembeni kwa muda. Hata RA naye ni wale wale tu