M Moses Mziray New Member Joined Sep 27, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Sep 29, 2013 #1 Katika maisha ya ndoa,kati ya mume na mke nani anakua msaliti wa haraka kwa mwenzwe?
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Sep 29, 2013 #2 ^^ Mi nafikiri Msaliti ndiye anakuwa wa kwanza. ^^
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Sep 29, 2013 #3 Wa kwanza kusaliti ndiye anayekuwa wa kwanza.......teh teh
dad24 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 464 Reaction score 121 Sep 29, 2013 #4 Maada zingine hazina hata mashiko...........kwani wewe hujui alieanza ndo anakuwa wa kwanza?