mbisom ramos JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 812 Reaction score 397 Mar 27, 2014 #1 Salaam wakuu, Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata mjibu yanayoridhisha: Ni nini hasa sababu ya usaliti katika mapenzi? Je, ni tamaa? Kutoridhishwa kimapenzi!? Au ni asili na hulka ya mtu!? Nawasilisha
Salaam wakuu, Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata mjibu yanayoridhisha: Ni nini hasa sababu ya usaliti katika mapenzi? Je, ni tamaa? Kutoridhishwa kimapenzi!? Au ni asili na hulka ya mtu!? Nawasilisha
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,322 Reaction score 103,593 Mar 27, 2014 #2 Tamaa ndo sababu kubwa