Habari wakuu wa JF.
Napenda kuwafahamisha kwamba ninawezesha na kusaidia kusajili Kampuni ya kila aina, kuandaa MEMARTS, kukuchagulia jina nzuri la kampuni kulingana na matakwa yako, Hati miliki, patenti kwa bei nafuu sana. Pia Usajili huo utakamilika ndani ya siku 5 tu za kazi.
karibuni sana kwa wanaohitaji huduma.