rajshar Member Joined Oct 2, 2014 Posts 59 Reaction score 5 Oct 4, 2014 #1 naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha. Nilimaliza mwaka jana six.
naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha. Nilimaliza mwaka jana six.
L Logist Senior Member Joined Aug 13, 2014 Posts 158 Reaction score 35 Oct 4, 2014 #2 Unakuja na result slip,usihofu ni kawaida vyeti utoka baada ya one year.
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Oct 4, 2014 #3 Logist said: Unakuja na result slip,usihofu ni kawaida vyeti utoka baada ya one year. Click to expand... umemwelewa lakin?kifupi ni kwamba rst slip ni kwa form six wa mwaka huu tu wengine wote leteni original certfct
Logist said: Unakuja na result slip,usihofu ni kawaida vyeti utoka baada ya one year. Click to expand... umemwelewa lakin?kifupi ni kwamba rst slip ni kwa form six wa mwaka huu tu wengine wote leteni original certfct
rajshar Member Joined Oct 2, 2014 Posts 59 Reaction score 5 Oct 4, 2014 Thread starter #4 Nimekupata Baba gevovivah
S service JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 3,118 Reaction score 1,152 Oct 4, 2014 #5 rajshar said: Nimekupata Baba gevovivah[/QUOT welcome sua Click to expand...
S service JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 3,118 Reaction score 1,152 Oct 4, 2014 #6 rajshar said: naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha. nilimaliza mwaka jana six. Click to expand... mkuu result slip kama wewe mhitimu wa mwaka 2014
rajshar said: naomba kuuliza ili nisajiriwe hapo chuon ni lazima niwe na chet original cha form six au hata nikiwa na result slip yatosha. nilimaliza mwaka jana six. Click to expand... mkuu result slip kama wewe mhitimu wa mwaka 2014
rajshar Member Joined Oct 2, 2014 Posts 59 Reaction score 5 Oct 4, 2014 Thread starter #7 Ww upo hapo baba?? Vp kubadr program hawazingui?