[h=2]Most Expensive Summer 2014 Transfers[/h]Naona jinsi gani my team chelsea ilivyokua na vipaji vya kuuza (give ) and kununua(take), Barcelona(my favorite in La liga) jinsi walivyofanikisha dili kwa gharama kubwa zaidi ili Vampire atue Camp Nou
Naona vilevile Man U wanajaribu kufanya kila njia kukijenga kikosi chao kwa kununua wachezaji wengi sana mara baada ya wachezaji wa Furguson mfuasi wa Moyes ku expire