of cause hawa jamaa watatema mda si mrefu ila hawa jamaa huwa wanaita karibu kila mtu aliyetuma application mnafanya writen interview then ndo imetoka hakuna oral wanachauguana wanavyopenda mi siamini kama haki ya kweli inafanyika haiwezekani maelfu ya watu tufanye paper lazma watu wengi watafungana kwenye maksi so wanatumia kigezo kipi tena bila ya kufanya oral,mi mwenyewe nilishawahi kuingia kwenye written na nikawa na tamaa sana cause hili paper nilijua nimechana sana but nikachinjiwa baharini