chotibalula JF-Expert Member Joined Dec 4, 2014 Posts 206 Reaction score 110 Mar 14, 2015 #1 za mihangaiko wadau....vipi kuna mwenye taarifa kuhusu kuitwa kwanye interview kwa zile posts za Tan Trade, na zile nyingine general ambazo zilitangazwa kipindi kimoja na tan trade. nashukuru!
za mihangaiko wadau....vipi kuna mwenye taarifa kuhusu kuitwa kwanye interview kwa zile posts za Tan Trade, na zile nyingine general ambazo zilitangazwa kipindi kimoja na tan trade. nashukuru!
H HDS Member Joined Dec 13, 2014 Posts 45 Reaction score 3 Mar 14, 2015 #2 tan trade mbn walishaita ila hizo zingine bado
jacobian JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 417 Reaction score 158 Mar 14, 2015 #3 Pitia PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS dairy
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Mar 14, 2015 #4 bado hawajaita. Vuta tu subira.