Usaili UNDP Tanzania

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Habari wadau
Wife kaitwa kwenye usaili wa UNDP Tanzania tarehe 27/11/2015,siku ya ijumaa,Post ya Assistant Finance

Kama ulishawahi fanya usaili wao,post yoyote naomba umusaidie wife....!! Natanguliza shukrani za zati
 
Mdau mkeo alipita kwa huu usaili??? Maana nam nimeitwa next week anipe posible questions
 
Hapana brother marks hazikutosha! But alisema unapiga aptitude text online! Ukianza swali huna access yakurudi nyuma,ukirudi nyuma tu wanaku bkock!
 
Heee...hawakumrudishia gharama zake alizotumia net?...maana kuna mashirika ya ajabu sana hapa nchini
 
Habari wadau
Wife kaitwa kwenye usaili wa UNDP Tanzania tarehe 27/11/2015,siku ya ijumaa,Post ya Assistant Finance

Kama ulishawahi fanya usaili wao,post yoyote naomba umusaidie wife....!! Natanguliza shukrani za zati

Hii ngoma ya ' Shemeji ' iliishaje Comrade? Nimecheka sana interaction yako na ya Troll JF. Naona siku hiyo mlipimana nae ' ubavu ' kimtindo.
 
Niliamua kumpotezea tu mkuu wangu! Sikupenda kabisa bundasiliga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…