Usaili Tume ya Mahakama

Raqeeb

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
242
Reaction score
52
Hbr, wana jamii yeyote anayefahamu kama majina ya usahili yameshatoka tume ya mahakama kada ya auditors grade ii tangazo lakazi lilotoka tarehe 2/2/2015 anijuze plzzz...
 
Tutawaita tu baada ya pasaka ila mjiandae kuja dar kwenye written interview kwanza
 
mkuu semeni ukweli maana tumekaa mtaani mda bora tujue moja maana subir ikizidi maumivu yanaongezeka
 
Hawa jamaa waongo sana..
Hadi watu wanasahau kama walituma maombi....
 
Hawa jamaa waongo sana..
Hadi watu wanasahau kama walituma maombi....

Issue si uongo ila ndivyo ilivyo kuhusu kazi za serikali mara nyingi!!

Kazi niliyonayo, niliapply nikakaa mwaka na miezi miwili ndo nikapigiwa simu kwenye interview na bahati nikashinda!! Yaani nilishasahau kabisa!!

Kuna ofisi nimeingia siku kadhaa zilizopita nikakuta wapo busy wanasort barua ili zikapitiwe ndiyo watu waitwe. Nikawauliza mmlitangaza lini mbona hatuambini!!? Wakanijibu mwaka jana mwezi watisa!! Nilichoka

Madai yao bajeti, mpaka bajeti ipatikane
 
Mahakama pia miyeyusho dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…