Kwa mfano mtu kama una BBA au BCOM huwezi kuomba nafasi ya Accounting hata kama upo na CPA. Unless wa specify kwenye tangazo la ajira kama ukiwa na CPA unapata kazi.
Mtu ambaye ana BCOM Flat kwenye system yao upande wa kuchagua Qualifications, hakuna sehemu ya kuchagua, wanataka lazima iwe BCOM in something(accounting, finance, trade etc).