Usaili TAKUKURU

Hongereni wote mlioitwa kwenye usaili. Kama ya Jarkata mmeyasahau anzeni kujikumbusha. Kama uliiva umeiva tu,
Tip;
Mchujo wa kwanza kwenye kwata, written (comprehension) then oral mwisho mtamaliza na vipimo vya afya kabla list haijatoka Tena kwenda kozi. Nawatakia mafanikio mema
 
Mkuu, hawa jamaa wanasema kwenye Tangazo lao kwamba walioitwq wamefaulu usahili wa mwanzo, je hizi ni tofauti na zile kazi walizotangaza mwezi uliopita ?
 
Mkuu, hawa jamaa wanasema kwenye Tangazo lao kwamba walioitwq wamefaulu usahili wa mwanzo, je hizi ni tofauti na zile kazi walizotangaza mwezi uliopita ?
KUITWA kwenye interview it means walikaa na kuchambua maombi ya kila mmoja hivyo kitendo Cha KUITWA ni kwamba umeshafaulu usaili wa mwanzo(kulingana na vigezo walivyo viweka)
 
Nakumbuka walishafanyaga usaili, mwanzo nilijua ni list mpya kumbe ni walewale walioitagwa mwaka jana.
Sio sahihi kuna wapya kibao tu wameomba na wameitwa hiyo maana yako sio sawa na hii list.

Lqbda kama wapo na wale walio omba mwaka jana na wame apply this time pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…