Usaili Jeshi la Polisi ni lini?


Mjomba hata sisi pia tunapata info za jeshini mpaka wizara nyeti zinazo fahamika Tz, mdau tangazo lina display kila kitu so ondoa hofu kama unakidhi vigezo walivyo ainisha anyway Kuna vijana waliotoka depo jkt bado wapo makambini wangine wameshachaguliwa zimamoto na wanamalizia kozi yao, wangine wata join polisi mwaka huu pamoja na professional na wangine wanamalizia kozi za Nida ili watupwe mikoani kufanya zoezi hilo!!! Bare in mind kama unakidhi vigezo utapita tu
Always we don't talk a shit unless has been authorized and researched.....:bump:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…